Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 2,421 | Umetazamwa mara 6,538
Download Nota Download MidiKiitikio: Utanijulisha njia ya uzima, Bwana, utanijulisja njia ya uzima, Bwana, utanijulisha njia ya uzima x2.
Mashairi:
1. Mungu unhifadhi mimi, kwa maana nakukimbilia wewe.
2. Nimemwambia Bwana, Ndiwe Bwana wangu ndiwe Bwana wangu.