Ingia / Jisajili

Siku Hii

Mtunzi: Conrad Mghanga
> Mfahamu Zaidi Conrad Mghanga
> Tazama Nyimbo nyingine za Conrad Mghanga

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Pasaka

Umepakiwa na: Conrad Mghanga

Umepakuliwa mara 99 | Umetazamwa mara 625

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya Pasaka

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
SIKU HII Siku hii ndiyo aliyoifanya Bwana x2 Mungu (tutashangilia (na) kuifurahia (siku) tutashangilia na kuifurahia) x2 1.Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele, Israeli na aseme sasa, ya kwamba fadhili zake ni za milele. 2. Mkono wa kuume wa Bwana umetukuzwa, mkono wa kuume wa Bwana hutenda makuu, sitakufa bali nitaishi, nitayasimulia matendo yake Bwana 3.Jiwe waliloli-kataa waashi, limekuwa jiwe kuu tena la pembeni, neno hili limetoka kwa Bwana, nalo ni ajabu machoni machoni pe-tu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa