Ingia / Jisajili

Hosana Mfalme Wa Israeli

Mtunzi: Conrad Mghanga
> Mfahamu Zaidi Conrad Mghanga
> Tazama Nyimbo nyingine za Conrad Mghanga

Makundi Nyimbo: Matawi

Umepakiwa na: Conrad Mghanga

Umepakuliwa mara 222 | Umetazamwa mara 693

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya Matawi

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
HOSANA MFALME WA ISRAELI 1.Wakatwaa matawi matawi ya mitende wakatoka nje ili kwenda kumlaki, wakipiga kelele hosana hosana mbarikiwa ajaye kwa jina la Bwana (Hosana) hosana hosana mwana wa Daudi, hosana hosana mfalme wa Israeli, (hosana) Hosana hosana hosana ndiye mbarikiwa hosana ajaye kwa jina la Bwana 2.Yesu alikuwa amepanda mwanapunda kama vile maandiko yanavyosema, usiogope ee binti Sayuni tazama mfalme wako anakuja kapanda punda 3.Mambo hayo yalikuwa mageni kwa wote hata wanafunzi wake hawakufahamu, lakini Yesu alipokwisha kutukuzwa ndipo walipokumbuka ilivyoandikwa 4.Ishara aliyokuwa ameifanya huko Bethania ilikua ya ajabu, ya kumfufua Lazaro aliyekufa hivyo wengi walitoka ili wamuone

Maoni - Toa Maoni

Ingudia Moses Mar 03, 2024
Pongezi kaka

Toa Maoni yako hapa