Ingia / Jisajili

AMANI SKUTI

Mtunzi: Conrad Mghanga
> Mfahamu Zaidi Conrad Mghanga
> Tazama Nyimbo nyingine za Conrad Mghanga

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: Conrad Mghanga

Umepakuliwa mara 348 | Umetazamwa mara 996

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
AMANI SKUTI 1.Amani ya Bwana Yesu, amani iliyo kuu tuisambaze kwa watu idumu milele yote x2 Amani amani (ya Yesu) amani amani (ya Yesu) amani tutakiane kwa watu wote daima x2 2.Upendo 3.Furaha 4.Umoja

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa