Ingia / Jisajili

MTAKATIFU (BANGO)

Mtunzi: Conrad Mghanga
> Mfahamu Zaidi Conrad Mghanga
> Tazama Nyimbo nyingine za Conrad Mghanga

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: Conrad Mghanga

Umepakuliwa mara 250 | Umetazamwa mara 1,086

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
MTAKATIFU (BANGO) Mtakatifu Bwana Mungu wa majeshi mbingu na dunia zimejaa utukufu wako x2 Hosana juu mbinguni hosana juu mbinguni, hosana hosana hosana hosana juu mbinguni x2 Barikiwa yule, yule ajaye, yule ajaye ajaye kwa jina la Bwana x2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa