Mtunzi: Michael Matai
> Mfahamu Zaidi Michael Matai
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Matai
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Michael Matai
Umepakuliwa mara 592 | Umetazamwa mara 2,110
Download Nota Download MidiKiitikio; Zaburi 147:12-15, 19-20
Msifu Bwana wako ee Yerusalemu, Msifu Bwana wako msifu ee Sayuni;
Maana ameyakaza mapingo ya malango yako amewabariki wanaondani wanaondani yake.
Mashairi:
1. Ndiye afanyaye amani mipakani mwako, Akushibishaye kwa unono wa ngano; Huipeleka amri yake juu ya nchi, Neno lake lapiga mbio sana.
2. Humhubiri Yakobo neno lake, Na Israeli amri zake na hukumu zake; Hakulitendea taifa lolote mambo kama hayo, Wala hukumu zake hawakuzijua.