Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 1,544 | Umetazamwa mara 4,810
Download Nota Download MidiKiitikio: Mungu amepaa kwa sauti ya shangwe, Bwana Mungu wetu, amepaa Bwana kwa sauti ya baragumu x 2.
Mashairi:
1. Enyi watu wote pigeni makofi, mpigieni Mungu kelele kwa sauti ya shangwe.
2. Kwa kuwa Bwana aliye juu, ni mwenye kuogofya ndiye mfalme wa dunia yote.
3. Mwimbieni Mungu naam imbeni, mwimbieni mfalme wetu naam imbeni kwa akili.