Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 1,475 | Umetazamwa mara 4,190
Download Nota Download MidiKiitikio: Roho ndiyo itiayo uzima, mwili haufahi kitu x2.
Mashairi:
1. Maneno haya niliyowaambia ni Roho tena ni uzima.
2. Ushuhuda wa Bwana ni amini, humtia mjinga hekima.
3. Maagizo ya Bwana ni adili hufurahisha moyo.