Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 647 | Umetazamwa mara 2,785
Download Nota Download MidiKiitikio: Salamu Mama uliyemzaa mfalme mwenye kutawala mbingu na dunia daima na milele x 2.
Mashairi:
1. Ulimleta duniani mwanga wa mataifa, mshauri wa ajabu na mfalme wa amani.
2. Una baraka ewe Mama Bikira Maria, uliyejaa ne'ma kuliko Mama wote.
3. Utuombee kwa Mungu Mungu Baba mwenyezi, ili na sisi wote tuione mbingu.