Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 1,024 | Umetazamwa mara 3,814
Download Nota Download MidiKiitikio: Ninatubu makosa yangu, Ee Baba nisamehe, kwani nimekukosea, wewe Bwana Mungu wa wokovu wangu.
Mashairi:
1. Dhambi zangu ndizo zilizokutesa, hukuwa na makosa mkombozi wangu, Ee Bwana nisamehe.
2. Wewe Bwana wavipenda vitu vyote, wala hukuchukii kitu chochote, ulichokiumba.
3. Utusamehe dhambi tukifanya toba, nakutuhurumia Bwana Mungu wetu, nakutuhurumia.