Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 2,005 | Umetazamwa mara 5,656
Download Nota Download MidiKiitikio: Nitaenenda Mbele ya Bwana, mbele ya Bwana x 2. Katika nchi ya walio hai, katika nchi ya walio hai, nchi ya walio hai x 2.
Mashairi:
1. Naliamini kwa maana nitasema, mimi naliteswa naliteswa sana.
2. Ina thamani machoni pa Bwana, Mauti ya wacha Mungu wake.
3. Ee Bwana hakika mimi ni mtum ishi wako, mtumishi wako mwana wa mjakazi wako.
4. Umevifungua vifungo vifungo vyangu, nitakutolea dhabihu ya kushukuru.
5. Nitaziondoa nadhiri zangu kwa Bwana, na mbele ya watu wake wote.
6. Katika nyua za nyumba za Bwana, Ndani yako Ee Yerusalemu.