Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 1,388 | Umetazamwa mara 4,656
Download Nota Download MidiMungu unihifadhi mimi, kwa maana nakukimbilia,
kwa maana nakukimbilia kwa maana nakukimbilia (naku)kimbilia Wewe
1.Bwana ndiye fungu la posho langu waishika kura yangu,
nimemweka mbele yangu daima –
kwa kuwa yuko kuume kwangu sitaondoshwa
2.Moyo wafurahi mwili wangu utakaa kwa kutumaini,
hutaniacha kuzimu wala –
Mtakatifu wako hataona uharibifu
3.Utanijulisha njia ya uzima mbele ya uso wako,
ziko furaha tele na katika –
mkono wako wa kiume mna mema ya milele