Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 384 | Umetazamwa mara 2,152
Download Nota Download Midi1.Sifa kweli Mama unazo mzazi wa Mungu
Mama mnyenyekevu, twakupa heshima
2.Uliyempenda Mwanao unatujali
ndiwe msaada wetu, maovu tukinge
3.Mtakatifu Bikira mwema tunakuomba
tufikishe kwake, Mkombozi Mwanao
4.Ndiwe mfano bora Maria tutunze Mama
ulivyo mtunza Yesu, Mama yetu mpenzi
5.Maombi yetu ufikishe kwake Mwanao
u mwombezi wetu, tupate rehema
6.Nguvu utupe safarini mbingu tufike
tuishi pamoja, daima milele