Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Zaburi
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 943 | Umetazamwa mara 3,866
Download Nota Download MidiUturehemu ee Bwana kwa kuwa tumetenda, kwa kuwa tumetenda dhambi x2
Ee Mungu unirehemu sawasawa na fadhili zako,
Kiasi cha wingi wa rehema zako uyafute, makosa
yangu, unioshe kabisa – na uovu wangu unitakase dhambi, 'nitakase dhambi zangu
Maana nimejua mimi makosa yangu,
Na dhambi yangu i mbele yangu daima,
Nimekutenda ndambi Wewe pekee yako – Na kufanya maovu, mbele za macho yako
Ee Mungu uniumbie moyo safi, uifanye upya roho
iliyotulia ndani yangu
Usinitenge na uso wako, wala roho yako – mtakatifu, usiniondolee
Unirudishie furaha ya wokovu wako
Unitegemeze kwa roho ya wepesi – Bwana
uifumbue midomo yangu na kinywa changu
kitazinena, sifa zako Bwana
Uturehemu ee Bwana kwa kuwa tumetenda, kwa kuwa tumetenda dhambi x2