Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 1,350 | Umetazamwa mara 5,236
Download Nota Download MidiNakushukuru Bwana x3 asante sana
Kwa mema yote Bwana ambayo watujalia, sinabudi ila kukushukuru
1.Mwili tumekula nayo damu tumekunywa –
(Mwili tumekula nayo damu tumekunywa ee asante) x2
2.Tumeishiriki karamuye takatifu –
(Tumeijongea meza yake takatifu ee asante) x2
3.Kiu wala njaa kamwe hatutaiona –
(Tumepata shibe tumeburudika leo ee asante) x2
4.Ametuahidi mema yote ya mbinguni –
(Tutapata kweli kuishi naye mbinguni ee asante) x2
5.Bwana wetu Yesu atupenda sisi sote –
(Ametuonyesha hilo pendo lake kuu ee asante) x2