Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 2,359 | Umetazamwa mara 5,949
Download Nota Download MidiTwakushukuru ee Yesu asante
Twakushukuru ee Yesu asante u’ mwema sana ee Bwana Yesu
(Asante ee Bwana Yesu umetujalia mema yatokayo mbinguni) x2
1.Umetulisha chakula cha uzima, kwa hivyo twasema Bwana asante
2.Umetunywesha kinywaji cha uzima, kwa …
3.Mema ya mbingu tumeyapata leo, kwa …
4.Umetupenda kwa kutuburudisha, kwa …
5.Ndiwe nuru yangu na wokovu wangu, kwa …
6.Kwa mafundisho na mfano wako bora, kwa …