Ingia / Jisajili

Waumini Njooni

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 55 | Umetazamwa mara 117

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Waumini njooni wote nyumbani mwa Bwana, ni nyumba takatifu Bwana yuatualika; Ni nyumba ya sala, wote njoni tumwabudu Bwana, tumsifu Bwana pia tumshukuru. 1. Kweli Bwana hututendea mema; atupenda Bwana wetu njoni tushukuru 2. Kweli Bwana hafungi masikio, tukampe shida zetu atazitatua 3. Mtawala wa mbingu na dunia, njoni tumwabudu ndiye Bwana wa mabwana 4. Huyatenda yasiowezekana, tutukuze jina lake aliye mkuu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa