Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: ELIJAH Mulei
Umepakuliwa mara 341 | Umetazamwa mara 1,477
Download Nota Download MidiEe Bwana, ee Bwana ewe Mungu wangu, ee Bwana ninakulilia; ndiwe kimbilio langu; bila wewe Bwana siwezi chochote.
1. Nayainua macho kwako ewe Bwana, usiufiche uso wako ewe Bwana
2. Nimeandamwa sana na adui wangu, nishike mkono Bwana nisiaibike
3. Shetani anakuja na ahadi tele, nifuate njia zeke nisikufuate
4. Nimejaribu mengi sijafanikiwa, sasa nakuja kwako Bwana niongoze