Ingia / Jisajili

Twaja Tukutolee Sadaka

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 22 | Umetazamwa mara 52

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Twaja tukutolee sadaka zetu, japo zingali kidogo twakusihi ewe Bwana Mungu Baba uzipokee (Sasa)} X2 1. Tunakutolea Bwana na mazao ya mashamba uliyotujalia Bwana kwa wema wako kwetu; twakusihi uipokee 2. Tunakutolea Bwana na mapato yetu sisi tuliyoyapata ‘toka biashara, kazi zetu, na talanta zetu pokea. 3. Tunakutolea Bwana na sadaka ya shukrani, nia zetu twazileta kwako ewe Bwana Mungu kwa sadaka tuitoayo.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa