Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 3,074 | Umetazamwa mara 7,274
Download Nota Download MidiKiitikio: Ndipo niliposema, tazama nimekuja, tazama nimekuja, kuyafanya mapenzi mapenzi yako x 2.
Mashairi:
1. Nalimngoja Bwana kwa saburi, akaniinamia akakisikia kilio changu, akatia wimbo mpya kinywani mwangu, ndiyo sifa yake Mungu wetu.
2. Dhabihu na matoleo hukupendezwa nazo, masikio yangu umeyazibua, kafara na sadaka za dhambi hukuzitaka, ndipo niliposema tazama nimekuja.