Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 1,395 | Umetazamwa mara 4,674
Download Nota Download MidiKiitikio: Bwana asema, Mimi ndimi ufufuo na uzima x 2. Yeye anifuataye mimi hata kufa kabisa hata milele x 2.
Mashairi:
1. Yesu akamwambia Marta mimi ndimi ufufuo na uzima, anisadikiye mimi, atakuwa mzima hata baada ya kufa.