Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 2,760 | Umetazamwa mara 7,074
Download Nota Download MidiKiitikio: Bwana Mfalme anakuja kwetu, anakuja kutuokoa x 2. Bwana mfalme anakuja andaeni njia yake, Bwana mflame mwenye enzi anakuja tayarisha mapito yake x 2.
Mashairi:
1. Nasi tukamlaki ndiye mkuu, ni mwamba wetu duniani, mwamba wetu duniani.
2. Ni masiha hivyo tumngojee, tumaini la wanadamu tumaini la wanadamu.
3. Mwenye Enzi ufalme na nguvu, mshauri wa ajabu na mfalme wa amani.