Ingia / Jisajili

Nyota Ya Bahari

Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: David Kacholi

Umepakuliwa mara 1,999 | Umetazamwa mara 6,169

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

1a. Nyota ya bahari, Mama yake mwokozi, umejaa uzuri, u-mlango wa uwingi.

  b. Mama yetu Maria, Mama yetu mfariji, Umejaa neema, utuombee mbinguni.

2a. Upokee salamu, tunazokutolea, sala maombi yetu, uvipokee Ee Mama.

  b. Mariamu Mama yetu, zipokee heshima, twaimba twakuomba, utuelekee Mama.

3a.Mama Mwenye faraja, tumaini tulizo, usituache sisi, tukuombapo rehema.

  b. Mama mlinzi mpole, si twakukimbilia, utulinde Maria, tuone njia ya mbungu.

4a. Kukupenda ni heri, kuomba tumaini, tuhurumie Mama, utusaidie hima.

  b. Hapa duniani, adui tuepushe, tusimamie Mama, sisi wana wako wote.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa