Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 341 | Umetazamwa mara 1,872
Download Nota Download MidiKiitikio:
Siku ya taabu yangu nalimtafuta Bwana nalimtafuta Bwana, nalimtafuta Bwana x 2. Mkono wangu ulinyooshwa usiku, nao haukulegea nayo nafsi yangu ilikataa kufarijika x 2.
Mashairi:
1. Nilopotaka kumkumbuka Mungu nilifadhaika, nilipotaka kutafakari roho yangu roho yangu ilizimia.
2. Ulizishika kope za macho yangu zisifumbike, naliona mashaka mashaka mashaka nisiweze kunena.