Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 1,096 | Umetazamwa mara 3,333
Download Nota Download MidiKiitikio: Kwako Bwana zinatoka sifa zangu, katika kusanyiko kubwa la watu x2.
mashairi:
1. Nitaziondoa nadhiri zangu, mbele yao mbele yao wamchao.
2. Wapole watakula watakula na kushiba, wamtafutao Bwana watamsifu.
3. Miisho yote ya dunia itakumbuka, na watu watamrejea Bwana.