Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 1,200 | Umetazamwa mara 4,877
Download Nota Download Midi1.Nyumbani mwake Bwana kuna amani na upendo
Nyumbani mwake Bwana kuna wokovu na baraka
Twendeni (kwake) kwa Bwana nyumbani mwake (mwa) Bwana, Bwana ametualika
(Twende) Nyumbani mwake (mwa) Bwana (Bwana ametualika) x2
2. … kupona na uzima
… msamaha na neema
3. … kuna furaha na faraja
… kusifu na kuabudu
4. … vifijo na nderemo
… kuimba na kucheza