Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Moyo Mtakatifu wa Yesu
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 633 | Umetazamwa mara 2,484
Download Nota Download MidiMoyo wako mpendevu Yesu – waamini (sisi) tunaomba (Yesu) tujaze heri yako x2
1.Siku zote wewe ndiwe kimbilio letu (Yesu) tujaze heri yako
Shida na mahangaiko utuondolee (Yesu) tujaze heri yako
2.Kwa huruma yako Yesu utuwie radhi –
Na ututakase Bwana tuondolee dhambi –
3.Moyo wako Bwana Yesu ututie nguvu –
Tusikate tamaa ya kufika mbinguni –
4.Moyo wako uliochomwa kwa mkuki –
Utujaze heri yako ee Bwana Yesu –