Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Moyo Mtakatifu wa Yesu
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 437 | Umetazamwa mara 2,454
Download Nota Download Midi1.Moyo wa Bwana Yesu Mwana wake Mungu (ndiwe) Mfalme wa milele, ee Mwokozi wetu, twakuomba Kristu utuhurumie
2.Moyo wako mpendevu kwako tunapata (kinga) na mwovu shetani, tusitende dhambi, ...
3.Ulikuja Mwokozi sisi tuokoke (sote) kutoka dhambini, tufike mbinguni, ...
4.We’ ni mlango wa mbingu utufungulie (tuje) utuburudishe, na tuishi nawe, ...
5.Kwa uwezo wa Roho ulipata mwili (na u)-kawa mwanadamu, ukaishi kwetu, ...
6.Twaabudu moyo mpole ukae daima (nasi) baraka tujaze, tukutumikie, ...