Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Pentekoste
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 958 | Umetazamwa mara 3,838
Download Nota Download MidiUje ewe Roho Mtakatifu, uzienee nyoyo za waamini wako (uwatie) mapendo yako aleluya
1.Roho wa Bwana ameujaza, ulimwengu nayo inayoviunganisha viumbe vyote huijua,
maana ya kila – sauti aleluya
2.Pendo la Mungu limekwisha (kumiminwa) katika mioyo yetu na Roho Mtakatifu tuliyepewa sisi aleluya
3.Wote wakajazwa Roho – Mtakatifu, Wakaanza kusema – kwa lugha mbalimbali
(matendo makuu) ya Mungu aleluya