Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 1,857 | Umetazamwa mara 4,733
Download Nota Download MidiAsante kwa baraka zako (Bwana) asante twashukuru x2
Asante Mungu wangu (asante Mungu x2) asante ee asante x2
1.Katulisha Bwana na akatunywesha asante
2.Kwani ndiwe Bwana Wewe ndiwe Mfalme asante
3.Wewe watupenda kwa kukaa nasi asante
4.Kwa fadhili zako twashukuru Bwana asante
5.Sisi wana wako unatuongoza asante
6.Watulinda Bwana na unatutunza asante