Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 643 | Umetazamwa mara 2,342
Download Nota Download MidiEe nafsi yangu umsifu Bwana ee nafsi yangu, Ee nafsi yangu umsifu Bwana x2
1.Bwana huishika kweli milele,
huwafanyia hukumu walioonewa
Bwana huwapa wenye njaa chakula - hufungua waliofungwa
2.Bwana huwafumbua macho waliopofuka,
huwainua walioinama
Bwana huwapenda wenye haki - huwahifadhi wageni
3.Bwana huwategemeza yatima na mjane,
bali njia ya wasio haki huipotosha
Bwana atamiliki milele Mungu wako ee Sayuni - kizazi hata kizazi