Ingia / Jisajili

Pokea Sadaka Yetu

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 263 | Umetazamwa mara 1,283

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1.Twaileta kwako Bwana ipokee sadaka yetu (pokea bwana sadaka yetu Bwana ibariki) 2.Mkate divai Bwana ipokee sadaka yetu; 3.Na tunda la jasho Bwana ipokee: 4. Na maombi yetu Bwana ipokee: 5.Na maisha yetu Bwana ipokee;

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa