Ingia / Jisajili

Amka Twende Tukatoe Sadaka

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 340 | Umetazamwa mara 475

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Amka ewe ndugu twende - twende tukatoe sadaka X2 (Amka ewe ndugu) Hima kwa ukarimu twende tukamtolee Bwana mapato yetu jinsi alivyotujalia.X2 1. Tulivyopata ‘toka kwa jasho letu – twende tukamtolee muumba wetu 2. Tulivyopata ‘toka kwa talanta zetu – twende tukamtolee muumba wetu 3. Furaha na uchungu pia shukrani – twende tukamtolee muumba wetu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa