Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi
Makundi Nyimbo: Ndoa
Umepakiwa na: ELIJAH Mulei
Umepakuliwa mara 589 | Umetazamwa mara 1,730
Download Nota Download Midi1. Kila mtu atege sikio leo; nitatoboa siri ya roho yangu
Hiki ndicho kipenzi cha roho, kutoka leo mimi ninahapa kukipenda nyakati za shida na furaha
2. Naiweka waziwazi mimi leo, nimepata maua ya roho yangu
3. Kipenzi changu nakuahidi leo, kukupenda maishani mwangu kote