Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 843 | Umetazamwa mara 3,328
Download Nota Download MidiKiitikio:
Nafsi yangu yamngoja Mungu Peke yake kwa kimya x 2.
Mashairi:
1. Nafsi yangu yamngoja Mungu yamngoja Mungu peke yake kwa kimya, wokovu wngu hutoka kwake.
2.Yeye ndiye mwamba na wokovu wangu, pia ngome yangu ngome yangu, sitatikisika sana.
3. Nafsi yangu umngoje Mungu umngoje Mungu peke yake kwa kimya, tumaini langu hutoka kwako.