Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 288 | Umetazamwa mara 2,093
Download Nota Download MidiKiitikio: Sikusitiri haki yako moyoni mwangu x 2. Nimetangaza uaminifu na wokovu wako, sikuficha fadhili zako wala kweli yako katika kusanyiko kubwa la watu x 2.
Mashairi:
1. Nimehubiri habari za haki, katika kusanyiko kubwa, sikuizuia midomo yangu Ee Bwana unajua.
2. Nawe Bwana, usinizuilie rehema rehema zako, fadhili zako, na kweli yako, na zinihifadhi daima daima milele.
3. Kwa maana mabaya yasiyohesabika yamenizunguka mimi, maovu yangu, yamenipata wala siwezi kuona.