Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 1,818 | Umetazamwa mara 4,413
Download Nota Download MidiKiitikio: Aleluya aleluya aleluya aleluya x2. Tazama Bikira atachukua mimba naye atamzaa mwana mwana mwanamume, Nao watamwita jina lake Imanueli, yani Mungu pamoja, Mungu pamoja nasi.
1. Mshauri wa ajabu Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele mfalme wa amani.
2. Ndiye mwenye ufalme mabegani mwake, mshauri wa ajbu mshauri wa ajabu.
3. maongeo ya enzi yake na amani, hayatakuwa na mwisho na mwisho kamwe.
4. Katika kiti cha enzi cha Daudi, atauthibitisha ufakme wake.