Ingia / Jisajili

Sadaka Ya Moyo Wangu

Mtunzi: Cyprian D. Alphayo
> Mfahamu Zaidi Cyprian D. Alphayo
> Tazama Nyimbo nyingine za Cyprian D. Alphayo

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Cyprian Alphayo

Umepakuliwa mara 5 | Umetazamwa mara 1

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

SADAKA YA MOYO WANGU

Kiitikio

Ninakutolea sadaka ya moyo wangu

Iliyo sehemu ya hazina yangu

Ikupendeze ee Mungu X2 Ikupendeze ee Mungu wangu

 

Mashairi

1.Nami naambatanisha maombi yangu, ikupendeze, iwe harufu nzuri yenye manukato hekaluni mwako

2. Tena naomba ulinzi wa familia, na vitu vyote ulivyonijalia viwe sehemu ya luluabudu

3. Atukuzwe Mungu Baba, Mwana na Roho, Mtakatifu kama mwanzo na sasa na siku zote, Milele Amina


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa