Ingia / Jisajili

Tunakusalimu Mama Maria

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 144 | Umetazamwa mara 243

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tunakusalimu Mama Maria 1. Tunakusalimu mama Maria mama mwenye neema nyingi – tunakusalimu mama Maria, mama yetu twakusalimu X2 {Salamu mama Maria, salamu mama wa Mungu}X4 2. Mama mzazi wa Yesu Kristu mkombozi wa dunia yote – tunakusalimu mama Maria, mama yetu twakusalimu X2 3. Umebarikiwa kuliko wake wote, naye Bwana yunawe - tunakusalimu mama Maria, mama yetu twakusalimu X2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa