Ingia / Jisajili

Niruhusu Ninjongee

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 305 | Umetazamwa mara 1,227

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1.Meza ya Bwana Yesu sasa itayari; wateule wake njoni twende tumpokee; (Kwa huruma yako Yesu niruhusu mimi ninjongee meza yako nipate uzima) 2. Pengine Bwana wangu sistahili mimi; kwa huruma yako Bwana siniadhibu; 3.Kwa mwili wako Bwana na damuyo Bwana nipate neema za kushinda shetani;

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa