Ingia / Jisajili

Kama Ile Ya Abeli (Sadaka)

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 82 | Umetazamwa mara 122

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kama ile ya Abeli sadaka yangu kwako ee Bwana ikupendeze X2 Kwako Bwana (leo) naitoa kama ya Abeli ikupendezeX2 1. Nijalie moyo wa unyofu, (nikutolee kama Abeli ikupendeze)X2 2. Nijalie moyo wa upendo (nikutolee kwa upendo ee Mungu wangu)X2 3. Nijalie moyo wa ukarimu (nikutolee bila uchoyo ee Mungu wangu)X2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa