Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 6,497 | Umetazamwa mara 13,560
Download Nota Download MidiKiitikio:
Ataniita nami nitamwitikia, nitamwokoa nakumtukuza, kwa siku nyingi nitamshibisha x 2.
Mashairi:
1. Aketiye mahali mahali pa siri, pake aliye aliye juu, atakaa katika uvuli wake mwenyezi.
2. Nalisema Bwana ndiye kimbilio langu, na ngome na ngome yangu, Mungu wangu nitakayemtumaini.
3. Maana yeye atakuokoa, na mtego mtego wa mwindaji, na katika tauini iharibuyo.
4. Kwa manyoya yake atakufunika, chini ya mbawa zake kimbilio, uaminifu wake ni ngao na kigao.