Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 350 | Umetazamwa mara 2,469
Download Nota Download MidiKiitikio: Umkabidhi Bwana njia yako, wewe, umkabidhi Bwana njia yako, pia umtumaini naye atafanya x 2.
Mashairi:
1. Usikasirike kwa sababu ya watenda mabaya, usihusudu wafanyao ubatili.
2. Maana kama majani watakatika mara, kama miche mibichi watanyauka.
3. Umtumaini Bwana ukatende mema, katika nchi upende uaminifu.
4. Nawe utajifurahisha kwa Bwana, naye atakupa haja za moyo wako.