Ingia / Jisajili

Simama Ndugu Tukatoe

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 87 | Umetazamwa mara 151

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
{Simama ndugu X2 twende tukatoe sadaka }X2 {Twende tukatoe mapato ya wiki, ndiye aliyetujalia yote}X2 1. Twende tukatoe kama yule mjane aliyetoa kwa ukarimu ‘kampendeza Bwana 2. Twende tukatoe kwa moyo mnyoofu maana moyo wa ukweli hupendeza Bwana 3. Twende tukatoe mazao ya mashamba, mifugo yetu, fedha zetu ni mali ya Bwana

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa