Ingia / Jisajili

Sote Tumealikwa Kushiriki

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 49 | Umetazamwa mara 86

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
TUMEALIKWA KUSHIRIKI Sote tumealikwa kushiriki kwa karamu yake Bwana Yesu, wateule tujongee meza ya Bwana; (Tumeandaliwa chakula ‘takatifu na Yesu; ni mwili na damu yake, ni chakula chenye uzima)X2. 1. Ukumbusho wa pendo lake Mungu Baba kwa mwanadamu, kumtoa mwanawe Yesu aje kutukomboa sisi 2. Ee mkristu tafiti moyo kama kweli unastahili kujongea meza ya Bwana husije pokea hukumu 3. Aulaye mwili wa Bwana na kuinywa damu ya Bwana, yeye hukaa ndani ya Bwana na yeye Bwana ndani yake

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa