Ingia / Jisajili

Kama Ayala

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 62 | Umetazamwa mara 134

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kama ayala vile aioneavyo kiu mito ya maji; (ndivyo ninavyokuonea kiu, nakuonea kiu Mungu)X2 1. Natamani kushibishwa na mwilio Yesu, na damu yako Bwana iniburudishe; chakula cha uzima, karamuyo Bwana. 2. Nakukaribisha Yesu moyoni mwangu uishi ndani yangu nami ndani yako, mwisho nikafurahi nao malaika 3. Kwa mwili na damu yako unipe uwezo wa kushinda majaribu yake shetani niishi nikitenda mapenziyo Bwana

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa