Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 314 | Umetazamwa mara 2,086
Download Nota Download MidiKiitikio: Ee Mungu, Ee Mungu, Tumesikia kwa masikio yetu, Baba zetu wametuambia matendo uliyoyatenda siku zao na siku za kale x 2
Mashairi:
1. Wewe kwa mkono wako uliwafukuza mataifa ukawakalisha wao, wewe uliwatesa watu watu wa nchi ukawaeneza wao.
2. Maana si kwa upanga wao, walivyoimiliki nchi, wala si mkono wao uliowaokoa, bali mkono wako wa kuume, naam mkono wako, na nuru ya uso wako, kwa kuwa uliwaridhia.