Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 3,368 | Umetazamwa mara 9,959
Download Nota Download MidiKiitikio:
Mpigieni Mungu kelele za shangwe nchi yote imbeni utukufu wa jina lake, tangazeni sifa zake aleluya aleluya x 2.
Mashairi:
1. Njoni tumwimbie mwamba mwamba wa wokovu wetu, tumfanyie shangwe shangwe shangwe kwa zaburi.
2. Mwambieni Mungu matendo yako yanatisha, matendo yako yanatisha yanatisha kama nini.
3. Njoni yatazameni matendo ya Mungu, utisha kwa mambo awatendeayo wanadamu.