Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 2,616 | Umetazamwa mara 6,131
Download Nota Download MidiKiitikio: Asubuhi na Mapema, amefufuka mwokozi wetu x2. Na tuimbe aleluya tumshangilie Mungu wetu, ukombozi wa dunia ametuletea x2.
Mashairi:
1. Enyi watu wote furahini furahini sana, kristo kafufuka, kristo kweli ni mzima.
2. Kashinda mauti kamshinda mwovu shetani, ametuletea wokovu wa milele.
3. Kristo alisema siku ya tatu nitafufuka, alisema kweli, kweli amefufuka.