Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 2,286 | Umetazamwa mara 5,386
Download Nota Download MidiKiitikio: Mimi Ndimi Nuru ya ulimwengu, asema Bwana x 2. Yeye anifuataye hata kwenda gizani kamwe bali atakuwa na nuru ya uzima x 2.
Mashairi:
1. Basi mafarisayo wakamwambia, wewe wajishuhudia mwenyewe, ushuhuda wako si wa kweli.
2. Yesu akawajibu akawaambia, ingawa najishuhudia mwenyewe, ushuhuda wangu ni kweli.
3. Kwa kuwanajua nilikotoka, na kwakuwa najua niendako, lakini ninyi hamjui.